Romans 16:25

Maneno Ya Mwisho Ya Kumsifu Mungu

25 aSasa atukuzwe yeye awezaye kuwafanya ninyi imara kwa Injili yangu na kuhubiriwa kwa Yesu Kristo, kutokana na kufunuliwa siri zilizofichika tangu zamani za kale.
Copyright information for SwhNEN