Ruth 2:17

17 aBasi Ruthu akaokota masazo shambani hata jioni. Akatwanga ile shayiri aliyokusanya, ikajaa efa moja.
Efa moja ni sawa na kilo 22.
Copyright information for SwhNEN