Zechariah 13:7

Mchungaji Apigwa, Nao Kondoo Watawanyika

7 a“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu,
dhidi ya mtu aliye karibu nami!”
asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
“Mpige mchungaji,
nao kondoo watatawanyika,
nami nitageuza mkono wangu
dhidi ya walio wadogo,
Copyright information for SwhNEN