Zephaniah 2:5

5 aOle wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari,
enyi Wakerethi;
neno la Bwana liko dhidi yenu,
ee Kanaani, nchi ya Wafilisti.

“Mimi nitawaangamiza,
na hakuna atakayebaki.”
Copyright information for SwhNEN