Zephaniah 3:3-4
3 aMaafisa wake ni simba wangurumao,
watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni,
ambao hawabakizi chochote
kwa ajili ya asubuhi.
4 bManabii wake ni wenye kiburi,
ni wadanganyifu.
Makuhani wake hunajisi patakatifu
na kuihalifu sheria.
Copyright information for
SwhNEN