‏ 1 Chronicles 15:1

Sanduku La Agano Laletwa Yerusalemu

(2 Samweli 6:12-22)

1 aBaada ya Daudi kujijengea nyumba zake katika Mji wa Daudi, akatengeneza sehemu kwa ajili ya Sanduku la Mungu, kisha akasimamisha hema kwa ajili yake.
Copyright information for SwhNEN