1 Corinthians 7:7-9
7 aLaiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile.8 bKwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. 9 cLakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.
Copyright information for
SwhNEN