2 Samuel 23:8
Mashujaa Wa Daudi
(1 Nyakati 11:10-41)
8 aHaya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi:Yosheb-Bashebethi, ▼
▼Yosheb-Bashebethi au Yashobeamu (1Nya 11:11).
Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.
Copyright information for
SwhNEN