Isaiah 41:15-16
15 a“Tazama, nitakufanya chombo cha kupuria,kipya na chenye makali, chenye meno mengi.
Utaipura milima na kuiponda
na kuvifanya vilima kuwa kama makapi.
16 bUtaipepeta, nao upepo utaichukua,
dhoruba itaipeperushia mbali.
Bali wewe utajifurahisha katika Bwana
na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Copyright information for
SwhNEN