Jeremiah 2:2
2 a“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu:
“ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako,
jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi
na kunifuata katika jangwa lile lote,
katika nchi isiyopandwa mbegu.
Copyright information for
SwhNEN