Joshua 12:5-9
5 aNaye alitawala katika Mlima Hermoni, Saleka, Bashani yote hadi mpaka wa watu wa Geshuri, na watu wa Maaka na nusu ya Gileadi, hadi kwenye mpaka wa Sihoni mfalme wa Heshboni.6 bMose, mtumishi wa Bwana, na Waisraeli wakawashinda. Naye Mose mtumishi wa Bwana akawapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase nchi ya hao wafalme ili iwe milki yao.
7 cHawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao:
8 ▼
wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
enchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):9 fmfalme wa Yeriko | mmoja |
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) | mmoja |
10 gmfalme wa Yerusalemu | mmoja |
mfalme wa Hebroni | mmoja |
11 hmfalme wa Yarmuthi | mmoja |
mfalme wa Lakishi | mmoja |
12 imfalme wa Egloni | mmoja |
mfalme wa Gezeri | mmoja |
13mfalme wa Debiri | mmoja |
mfalme wa Gederi | mmoja |
14 jmfalme wa Horma | mmoja |
mfalme wa Aradi | mmoja |
15 kmfalme wa Libna | mmoja |
mfalme wa Adulamu | mmoja |
16 lmfalme wa Makeda | mmoja |
mfalme wa Betheli | mmoja |
17 mmfalme wa Tapua | mmoja |
mfalme wa Heferi | mmoja |
18 nmfalme wa Afeki | mmoja |
mfalme wa Lasharoni | mmoja |
19 omfalme wa Madoni | mmoja |
mfalme wa Hazori | mmoja |
20 pmfalme wa Shimron-Meroni | mmoja |
mfalme wa Akishafu | mmoja |
21 qmfalme wa Taanaki | mmoja |
mfalme wa Megido | mmoja |
22 rmfalme wa Kedeshi | mmoja |
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli | mmoja |
23 smfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) ▼ ▼Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori. | mmoja |
mfalme wa Goimu katika Gilgali | mmoja |
24 umfalme wa Tirsa | mmoja |
Copyright information for
SwhNEN