‏ Judges 19:21

21 aHivyo akamwingiza nyumbani mwake na kuwalisha punda wake. Baada ya kunawa miguu yao, wakala na kunywa.

Copyright information for SwhNEN