Judges 4:2
2 aHivyo Bwana akawatia mikononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, aliyetawala huko Hazori. Jemadari wa jeshi lake alikuwa Sisera, aliyeishi huko Haroshethi-Hagoyimu ▼▼Haroshethi-Hagoyimu ina maana Haroshethi ya Mataifa.
Copyright information for
SwhNEN