Leviticus 27:28-29
28 a“ ‘Lakini chochote kile mtu alicho nacho na akakiweka wakfu ▼▼Akakiweka wakfu ina maana ya kumpa Mungu kabisa, daima, bila kurudiwa.
kwa Bwana, iwe ni binadamu, au mnyama, au ardhi ya jamaa, hakiwezi kuuzwa au kukombolewa. Chochote kilichowekwa wakfu ni kitakatifu sana kwa Bwana. 29 c“ ‘Mtu yeyote aliyewekwa wakfu ili kuangamizwa, hawezi kukombolewa. Mtu kama huyo lazima auawe.
Copyright information for
SwhNEN