Psalms 42:1-2
(Zaburi 42–72)
Maombi Ya Mtu Aliye Uhamishoni
Kwa mwimbishaji. Utenzi wa wana wa Kora.
1 aKama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji,ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu.
2 bNafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai.
Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu?
Copyright information for
SwhNEN