Ezra 9:1

Maombi Ya Ezra Kuhusu Kuoa Wake Wa Kigeni

1 aBaada ya mambo haya kutendeka, viongozi walinijia na kusema, “Watu wa Israeli, wakiwemo makuhani na Walawi, hawakujitenga na majirani zao katika kufanya machukizo, kama yale ya Wakanaani, Wahiti, Waperizi, Wayebusi, Waamoni, Wamoabu, Wamisri na Waamori.
Copyright information for SwhNEN