Isaiah 51:18

18 aKati ya wana wote aliowazaa
hakuwepo hata mmoja wa kumwongoza,
kati ya wana wote aliowalea
hakuwepo hata mmoja wa kumshika mkono.
Copyright information for SwhNEN