Isaiah 7:20

20 aKatika siku ile Bwana atatumia wembe ulioajiriwa kutoka ngʼambo ya Mto,
Yaani Frati.
yaani mfalme wa Ashuru, kunyoa nywele za kichwa chako na malaika ya miguu yako, na kuziondoa ndevu zako pia.
Copyright information for SwhNEN