Jeremiah 29:2

2 a(Hii ilikuwa ni baada ya Mfalme Yekonia
Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.
na malkia mamaye, maafisa wa mahakama, viongozi wa Yuda na wa Yerusalemu, mafundi na wahunzi kwenda uhamishoni kutoka Yerusalemu.)
Copyright information for SwhNEN