Jeremiah 31:15

15 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Sauti imesikika huko Rama,
maombolezo na kilio kikubwa,
Raheli akiwalilia watoto wake
na anakataa kufarijiwa,
kwa sababu watoto wake hawako tena.”
Copyright information for SwhNEN