Job 40:5

5 aNimesema mara moja, lakini sina jibu;
naam, nimesema mara mbili,
lakini sitasema tena.”
Copyright information for SwhNEN