Job 42:7

Mwisho: Marafiki Wa Ayubu Wanafedheheshwa

7 aBaada ya Bwana kusema mambo haya yote na Ayubu, akamwambia Elifazi Mtemani, “Nina hasira juu yako na juu ya rafiki zako wawili, kwa sababu hamkusema yaliyo sawa kwa habari yangu, kama alivyosema mtumishi wangu Ayubu.
Copyright information for SwhNEN