Job 5:13

13 aYeye huwanasa wenye hekima katika hila yao,
nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Copyright information for SwhNEN