Psalms 75:10

10 aNitazikatilia mbali pembe za waovu wote,
bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Copyright information for SwhNEN