‏ Psalms 106:14-15

14 aJangwani walitawaliwa na tamaa zao,
walimjaribu Mungu nyikani.
15 bKwa hiyo aliwapa kile walichoomba,
lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha.
Copyright information for SwhNEN