Psalms 79:1-3
Maombi Kwa Ajili Ya Wokovu Wa Taifa
Zaburi ya Asafu.
1 aEe Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako,wamelinajisi Hekalu lako takatifu,
wameifanya Yerusalemu kuwa magofu.
2 bWametoa maiti za watumishi
kuwa chakula cha ndege wa angani
na nyama ya watakatifu wako
kwa wanyama wa nchi.
3 cWamemwaga damu kama maji
kuzunguka Yerusalemu yote,
wala hakuna yeyote wa kuwazika.
Copyright information for
SwhNEN